Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

[emoji23][emoji23] ninazo,tena nimeziwekea frem..usije leta zile zangu baba,vile nilivyo kifupi plus ubonge hakika jf itatetemeka
Eeeh siku hiyo nitawaambia nini watu wakiona kile kishati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri.

Ila siku yakinifikia nitaleft bila idhini ya Melo. Lazima wanawake walipe kisasi na wao.
 
Unajua kwa sisi wasomaji ukiangalia uzi huu na uzi wa yule mrembo kisha ukatoka na jibu moja unakuwa umejifunza kitu kikubwa sana achilia mbali kuhusu ukweli au uongo wa haya wanayotusimulia.

Hitimisho langu kwa watu hawa wawili ni kuwa ....................
"Avator zinawapoteza watu maboya"
 
Hivi MTU ukimwachia 7800 mia mbili inakuwa imeenda wapi? Kwa nini isiwe 7000 au 8000

Yaan jf kumbe mnakulana hv? Mimi ndio nimezubaa zubaa tu. Nakaribisha pm waleti iko poa, Ila habari za mikoba ya uganga staki
 
[emoji23][emoji23] Vile nakupendaga,siwezi kuwapa.
Na bahati nzuri mlango wa Pm umefungwa.
Sijui ilikuwaje nikakutumia nikiwa na kile kishati, mbele kimeinuka kama cha mzee mstaafu. [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Kutoka 76000 hadi 7800. Jf bhn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom