Labda vile kwa sasa wanaaanza safari saa. 11 alfajiri.Mtu atoke Mwanza kwa basi afike Dar saa tatu?
Labda vile kwa sasa wanaaanza safari saa. 11 alfajiri.Mtu atoke Mwanza kwa basi afike Dar saa tatu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo central aisee. Karibu sana
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]hapana bana me sipo kwenye hizo mambo my love. tena ngoja niache kabisa kuweka hata mwandiko wangu. hizi mada zingine hata kureply tu zinakushusha hadhi.
Umeamkaje mfalme wangu😊iiiiigweeeeeNimeipokea my queen
Mmh..security guard hao😄polisi hawako hivyo sana😎shida polisi nao wanakaba sana hawataki tuchote,
Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Yanakuja na matairi,.au we unaona yanakuja kwa miguu..?sasa na wewe malori ya mafuta yakujaje humo?
Mkuu humu wengi wamekomaa hatari, sijawahi shinda mechi yoyote hapa jf japo nimeshashiriki kama mechi 12, wote either wafupi sana au mkomao.
Naunga mkono hoja, ukizuzuka na avatar zao lazima ile kwako, nasema kwa sauti ya juu "HAKUNA MWANAMKE/MSICHANA HUMU HATA MMOJA ANAYEFANANA AU KUKARIBIANA NA AVATAR YAKE"Nakazia wadada wengi wa humu ni wabovu kupindukia na ni wana njaa kwelikweli...
Nashangaa kuona watu wanashupaza shingo kuwatetea...
😁 nilitaka kuuliza hivyo hivyo...eti sisi ni vibwengo...astaghafirulahi!
Jf imevamiwa na vijana wa instagram hawana stahaZamani jf haikuwahi kufanana kama hivi. Pamoja na kwamba tulitafunana sana, na haya pia mitongozo ilikuwa haikauki kwenye PM zao...
Nimeamka..Njoo uilaze..Umeniacha kitandani peke yangu unazurura jf?
Twende tukalale mpenzi.
![]()
Baba Nasma popote ulipo nenda Rashka Lodge usiku huu haraka sana
Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako. Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka...www.jamiiforums.com
![]()
VaginaApp ni kiboko ya wasaliti wote. Download sasa.
Ni Application mpya kabisa iliyogunduliwa na mtaalamu kutoka London mwenye asili ya kiisrael anayeitwa Harry Williamson Baker. App hii husaidia sim ya mtu aliyeidownload kuanza kupiga kelele na kuita mlio wa kipekee kama mtu huyo anasalitiwa na mke au mchumba wake. MFANO:- Kama utafanikiwa...www.jamiiforums.com
![]()
90% ya watu wa humu wameshaonja au kuonja tigo na 10% wanatamani kuonjwa au kuonja ila wanakosa fursa tu.
Tafiti hupingwa kwa tafiti na sio kwa kelele. Ukisoma post na koment za watu wengi humu utagundua kwamba watu wa humu ni waathirika wakubwa sana wa mtandao wa tigo. Nimesoma post 76086 na koments 256521 zimenipa jibu kwamba tuna uhaba wa marinda humu ndani. Watu wengi humu ni marindaless na...www.jamiiforums.com
![]()
Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni. Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra: 1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo kwa mbali katika paji lake la uso kati ya macho yake mawili. 2. Mwanamke bikra huwa anatoa harufu...www.jamiiforums.com
![]()
Kama mume wako au mke wako ni mfupi kwa kimo basi inakupaswa uwe mvumilivu sana
Hili halina ubishi kabisa. Watu wafupi kwa kimo aisee wanagubu sana. Niwe mkweli sijawahi kujua ni kwanini wapo hivyo. Kuwa na mke au mume mfupi kwa kimo ni darasa tosha kabisa na inahitaji uwe na roho ngumu sana. Kwanza ni wajuaji sana. Wakianza kuongea hawamalizi watashinda wanaongea kutwa...www.jamiiforums.com
![]()
Leo nisipokufa basi sifi tena
Ndani ya muda huu rafiki yangu ameniletea taarifa kwamba mke wangu mama Neema ananisaliti ndani ya gesti moja mjini Mwanza.Rafiki yangu ameniambia kamuana akiingia gesti na jamaa mmoja ambaye ni jirani yetu anayefanya kazi TANESCO. Nimejalibu kumpigia simu mke wangu mama Neema anasema yupo...www.jamiiforums.com
Mkuu ishu yako kama yangu, ukiangalia avatar basi unajua kuwa utakutana mtoto mkali au basi anafanania kwa mbali, afike sasa , duh ni wafupi hao afu wengi mikomao na matipwatipwaBlack is beautiful mama!! Wakijichubua shauri yao!
Lakin ukweli ni kuwa nyie mademu wa humu JF ni wabovu sana yaani hamuangaliki, mpo mpo tu kama vifaru, naongea hivi nimeshakutana na baadhi yenu kama 48 hivi.. Yaani wote hakuna mwenye afadhari wabaya kweli, wote waliishia kuchafua macho yangu tu... Maana macho yangu yameshazoea kuangalia vitu vizuri lakini siku hiyo yakakutana na vizibo vya JF hadi ikanibidi niende kunawa uso baada ya kutoka pale! Maana sio kwa sura zile utafikiri ni watoto wa bibi fisi[emoji855][emoji855][emoji855]
Basi muwe mnaweka avatar angalau zinazoendana na nyie ili mtu ukianza kufukuzia ujue utakacho kutana nachoJamanii [emoji23]
Tusameheni hatukupenda kuumbwa hivyoo
Hizi picha sikuziona naomba Unitag huo uziMajuzi picha ya dodoma,jana yeboyebo,leo picha ya manengelo na mtu kuachiwa 7,800.
Hamna rangi tutaacha onaView attachment 1191605
Haya yote uametokea lini mbona sijajui?Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini
Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
Haha pole ,kuanzia juzi Jf inapitia kipindi kigumuHaya yote uametokea lini mbona sijajui?