Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Na hii imekuwa tatizo hata kupelekea vijana kurudi hapa wakilalamika daily kwamba wanapo watongoza wadada wa humu, eti wanakataliwa na kuliwa naulizaoJf imevamiwa na vijana wa instagram hawana staha
Kwanini umewaza hivyo
Duu!Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Nimekumiss pia mtu wangu wa ukweli.Hahah
nimekumiss Nyau
Tulia wewe mzee.Asee
Huyo tunamwiita baharia ni hilo jina ni miongoni mwa jina la vyeo kwa sisi wanaumeAnachangamsha genge, ilishawahi nitoke a nimeweka uzi humu akaja mkaka akajidai yeye ndo muhusika aiseee akapewa Pole sana, na mimi nikapondwaaaaa badala ya kukasirika nikacheka sana maana jamaa alivyovaa uhusika, huwa wanaangalia post unayo trend sana.
Mwisho wa siku jamaa akaja pm tukachekaaaa ni marafiki mpaka Leo.
Mzigua90 upo!!! NakumissUkiangalia mada zilizopita zimekaa kusongeshaa siku ziende
Nafurahi kusikia hivyo😘😘Nimekumiss pia mtu wangu wa ukweli.
Basi joana basi, ha ha ha eti mamaezenuHalafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Sawa sawa mkuu!! Hilo file litunze ni nyenzo muhimu anytime inaweza ikahitajka.
Halafu hilo la wanaume baadhi kushapaza shingo kuwatetea hawa wadada humu hata mimi nimeliona sana.. Lakini hatuwezi kuwapangia nini cha kufanya maana yawezekana wao wameamua kuitumia JF kwa staili hiyo. Kikubwa wakijiingiza kwenye kutetea upuuzi usiwaache salama! Wape makavu wao na hao mademu zao!
Pamoja sana baharia!!
Aisee mimesoma comments zako kwenye huu Uzi wanawake wamekukosea nn? Ina maana wote ulokutana nao ni wabovu kama unavyodai? Mkuu kwa ulichoandika huku hakikikisha na wewe sio mbovu maana hao ulokutana nao kuna siku wataleta picha yako huku mkuu. Ni kushauri tu mdogo wangu vingine unatunza moyoni, hata kama vinakukera unanyamaza. Yaan unakutana na demu ati unanawa USO kisa sura yake?? Mmmh bila shaka unatania aiseeHata mimi sijasema kuwa mmejiumba!
Nilichokisema kuwa nyie ni wabaya hamuangaliki, yaani mtu akikutana na nyie mnaojiita warembo wa humu JF atakuwa disappointed vibaya mno, na akitoka hapo break ya kwanza ni kunawa uso hili kusafisha macho yake yaliyochafuliwa na muonekano mbaya wa demu wa JF[emoji108][emoji108]
Hivi zile picha zangu nikiwa na kishati cha chama bado unazo? Usije kuziuza nikakimbia humu.Nafurahi kusikia hivyo[emoji8][emoji8]
NB: hakuna mwanaume mbovuAisee mimesoma comments zako kwenye huu Uzi wanawake wamekukosea nn? Ina maana wote ulokutana nao ni wabovu kama unavyodai? Mkuu kwa ulichoandika huku hakikikisha na wewe sio mbovu maana hao ulokutana nao kuna siku wataleta picha yako huku mkuu. Ni kushauri tu mdogo wangu vingine unatunza moyoni, hata kama vinakukera unanyamaza. Yaan unakutana na demu ati unanawa USO Lisa sura yake?? Mmmh bila shaka unatania aisee
Shikamo SisterMlionitongoza ninaapa yote tuliyoongea PM sita yatoa
😂😂 ninazo,tena nimeziwekea frem..usije leta zile zangu baba,vile nilivyo kifupi plus ubonge hakika jf itatetemekaHivi zile picha zangu nikiwa na kishati cha chama bado unazo? Usije kuziuza nikakimbia humu.