Mmefikia wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenza umejiongeza sana.
Huyu nae ni mwana jf au ?Mpe namba yangu apate nauliView attachment 1191635
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani mganga hajaondoka bado?Nipo njiani naenda Atlantic Lodge room namba 116.
Anayetaka tuungane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Hii picha mbona nkitaka ku comment inakuja felister -ugoko wa magamba?
Mhhh mimi humu napita kama tupo kijiweni kunywa ghahawa japo sitilii maanani hizi habari ila Jf ni kichaka aiseenahisi sasa haya ni maigizo tu..hakuna cha picha ya nani wala nani..
Wanadai hutakiwi kua mbali na hapa jukwani kwa ajili ya kuwatag ma mods wafute mapicha...[emoji23][emoji23][emoji23]Hali mbaya tukatete wasap kidogoo [emoji125][emoji3601][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani mganga hajaondoka bado?
Duh hawajajiumba lakini...Black is beautiful mama!! Wakijichubua shauri yao!
Lakin ukweli ni kuwa nyie mademu wa humu JF ni wabovu sana yaani hamuangaliki, mpo mpo tu kama vifaru, naongea hivi nimeshakutana na baadhi yenu kama 48 hivi.. Yaani wote hakuna mwenye afadhari wabaya kweli, wote waliishia kuchafua macho yangu tu... Maana macho yangu yameshazoea kuangalia vitu vizuri lakini siku hiyo yakakutana na vizibo vya JF hadi ikanibidi niende kunawa uso baada ya kutoka pale! Maana sio kwa sura zile utafikiri ni watoto wa bibi fisi[emoji855][emoji855][emoji855]
Magallah
Hakukuwa na sababu ya kulijibu hili katika fake life. Tayari ushajulikana wa aina gani kwa wale utakao bahatika kutana nao kutoka humu katika real Life.
Kukaa kimya ni busara zaidi, hasa humu ndani endapo jiwe la kichakani likiwa limekushukia utosini kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anachangamsha genge, ilishawahi nitoke a nimeweka uzi humu akaja mkaka akajidai yeye ndo muhusika aiseee akapewa Pole sana, na mimi nikapondwaaaaa badala ya kukasirika nikacheka sana maana jamaa alivyovaa uhusika, huwa wanaangalia post unayo trend sana.
Mwisho wa siku jamaa akaja pm tukachekaaaa ni marafiki mpaka Leo.
nishaanza kwa hatua ya kwanza kubadili jina la idHaha usiondoke mkuu hizi ni comic relief tu tunapata
Uzuri dada yangu Menengelo hana shida na mtu
Anachangamsha genge, ilishawahi nitoke a nimeweka uzi humu akaja mkaka akajidai yeye ndo muhusika aiseee akapewa Pole sana, na mimi nikapondwaaaaa badala ya kukasirika nikacheka sana maana jamaa alivyovaa uhusika, huwa wanaangalia post unayo trend sana.
Mwisho wa siku jamaa akaja pm tukachekaaaa ni marafiki mpaka Leo.