Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Daaah 🤣[emoji1316][emoji1316][emoji1316] nyie ndio mnafanya watu wajichubue wakati weusi ni mzuri tu
Ila nyie mpo vizuri sana etii
Jamanii[emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316]🤸‍♀️🤸‍♀️
Dina mambo???

😎😎😎😎

🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Uzi upi huo nikawacheki 😃😃😃Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.
Hhahaa sahivi usiku tunashindwa kucheka kwa nguvu kama namuona dina anavyochekea tumboni@Dinazarde
 
Uzi upi huo nikaucheki [emoji2][emoji2][emoji2]Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.

Acha tu wao hawajaioni wanatuona sisi tu
 
Halafu mbona naona wanawake ndio wana muattack huyu msela? Wakati kwenye ule uzi mwingine hawa hawa walikuwa wana mpongeza na kumuona shujaa cute love.

Yawezekana kweli mademu wa JF ni vizibo na wengi wako kama huyo cute love jinsi alivyoelezewa na mleta mada.
[emoji23][emoji23][emoji23]..
Kwaio mkuu, msichana mfupiii aliekomaaa na anatakiwa awe mganga ndo huyo cutelove?
Wengine ni code hatujaielewa
 
Hayafikii yaliyopo kwenye pumbu zako
Kojoa OSHA vpumbu vyako ulale.
Ukiendela na Felister utakuwa sasa unafosi kupumuliwa
Ukweli siku zote mchungu pole sana najua ndani unakuwa na candidiasis wa kutoka
 
Naongezea tu, maaamaaaeee zao sana! Bus ya Mwanza ifike Dar saa 3!!!!
Shwain zao kabisa na yule dada pia katika ule uzi wake aliposema mdau alivyonyanyuka tu akaita tax akasepa na kuzima simu,pale ndupo nikamuona kumbe na yule demu ni kiazi mbatata tu,wamekutaba pipa na mwenzake mfuniko.
 
Back
Top Bottom