ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Mimi nipo namba 114 hapa
Nipo njiani naenda Atlantic Lodge room namba 116.
Anayetaka tuungane
Nipo njiani naenda Atlantic Lodge room namba 116.
Anayetaka tuungane
mpenzi upo ?? Nimekumisi sanaHalafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] i love u joanahHalafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
Mhhh mimi humu napita kama tupo kijiweni kunywa ghahawa japo sitilii maanani hizi habari ila Jf ni kichaka aisee
Wakati wanaweka zako unakumbuka ?
Kama kavaa uhusika alafu sio yeye basi kautendea haki uhusikaAnachangamsha genge, ilishawahi nitoke a nimeweka uzi humu akaja mkaka akajidai yeye ndo muhusika aiseee akapewa Pole sana, na mimi nikapondwaaaaa badala ya kukasirika nikacheka sana maana jamaa alivyovaa uhusika, huwa wanaangalia post unayo trend sana.
Mwisho wa siku jamaa akaja pm tukachekaaaa ni marafiki mpaka Leo.
Sasa kwanini ulimkimbia bila kumpa nauli ya kumrejesha kituo chake cha kazi?Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
ILA CHA AJABU ZAIDI LEO NIMEONA UZI WAKE HUMU JF KAANDIKA UONGO NA KAACHA KUANDIKA UKWELI KUHUSU TUKIO ZIMA.
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo Dar?
Halafu ukute ni Mtu mmoja mwenye ID nane anaandika vitu na kujijibu
Hebu mtupumzishe mammmmae zenu
sasa na wewe malori ya mafuta yakujaje humo?😂😂😂😂😂😂😂malori ya mafuta yanazidi kulipuka tuu jomoniii,.
Hakuna shida nani anapokea michango ili aje jukwaani nayeyeKwa hiyo tunatakiwa tuchange nauli tumtumie cute
Mmeamuaje jamani
Wahuni sio watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake"
Hata mimi sijasema kuwa mmejiumba!
Nilichokisema kuwa nyie ni wabaya hamuangaliki, yaani mtu akikutana na nyie mnaojiita warembo wa humu JF atakuwa disappointed vibaya mno, na akitoka hapo break ya kwanza ni kunawa uso hili kusafisha macho yake yaliyochafuliwa na muonekano mbaya wa demu wa JF[emoji108][emoji108]
Hakuna shida nani anapokea michango ili aje jukwaani nayeye
[emoji23][emoji23][emoji23]
Aweke tu namba wenye roho zetu tumrudshe mwanza wasijemuibia sweta lake bure [emoji16][emoji16]Sasa tufanyeje aweke namba tu [emoji14]
[emoji23] ajiongezeTsh 7800/= [emoji23][emoji23]