Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Bila ushahidi hata wa kapicha kake na screenshot mkuu? Hujautendea kazi huu uzi
 
Kwa hesabu za harakaharaka 98% ya wadada/wanawake humu ndani ambao ni famous jf wanafake life hasa kwenye upande wa appearance.

All in all, haya yote sio moja ya malengo ya kuanzishwa jf (kuchambua mionekano ya watu), sasa nashangaa why mtu a-fake life.

Ukifake life hakikisha unafunga pm na huwasiliani wala kufahamiana na memba yoyote humu jf.

AT YOUR OWN RISK.
[/b]

Cc Unforgetable

Mambo mazito haya

Cc Kingsmann
 
Id yako inaniumiza sana niliwahikuwa kwenye mahusiano na mzambia mmoja mwenye jina kama Id yako kila niionapo nakumbuka mbali walah

Yaan umenishtua moyooo nikjua unachomoa betri eti tushawahi kuwa na mahusiano mweee kumbe jina linafanana
Ngoja ninywe chai [emoji477]️ kwanza
 
Aisee mimesoma comments zako kwenye huu Uzi wanawake wamekukosea nn? Ina maana wote ulokutana nao ni wabovu kama unavyodai? Mkuu kwa ulichoandika huku hakikikisha na wewe sio mbovu maana hao ulokutana nao kuna siku wataleta picha yako huku mkuu. Ni kushauri tu mdogo wangu vingine unatunza moyoni, hata kama vinakukera unanyamaza. Yaan unakutana na demu ati unanawa USO kisa sura yake?? Mmmh bila shaka unatania aisee
Lizarazu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Chunga kauli zako.
 
Ifike mahali tujitambue sasa!
Ifike mahali tuheshimu privacy zetu wenyewe!

Ukimuumiza mwenzio kwa kuweka privacy yake jukwaani unafaidika nini, hatujafikia huko jamani!

Hatuna mioyo ya hivyo, ya kutojali hisia za wenzetu.. tubadilike
 
Yaan umenishtua moyooo nikjua unachomoa betri eti tushawahi kuwa na mahusiano mweee kumbe jina linafanana
Ngoja ninywe chai [emoji477]️ kwanza
Kuwa na Amani ya moyo hata kama obtenues,sina uswahili mwingi kiasi hicho.
 
Kwa hiyo hawa wanaoleta mada za kwenda kugegedwa kwako wana staha na ndio wanatakiwa kuwa humu jf?

Cardio habari za asubuhi tunaomba utumpuzimshe sasa mimi nipo hoi
Halaf cardio kweli sisi ndio tumekakamaa wafupi tuko na sura mubaya
Hivi ushawaona wanaume wa humu baadhi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
AH cheupe sina shida na wewe au wataka niweke picha yako profile picture hapa au nikutumie PM chagua mwenyewe mtoto wa kisukuma.
 
AH cheupe sina shida na wewe au wataka niweke picha yako profile picture hapa au nikutumie PM chagua mwenyewe mtoto wa kisukuma.

Cardio mi naumia sana
Ina maana siruhusiwi kukuqoute 🤣
Ngoja nije pm [emoji1316][emoji125]‍♀️
 
Back
Top Bottom