Najua mkibahatika kunifahamu mnanichambua in and out. Ila na hakika mtanifungulia njia maana najua wengi wenu humu ndani njaa zinawasumbua (sio wewe lakni)
Tena wewe ndio una sura mbovu kama ya bibi fisi! Miguu kama visiki vya miti, mwili upo opo tu kama diaba la maji, ujulikani mbele ni wapi wala nyuma ni wapi....meno sasa kama ya ngiri mwenye njaa,. nywele zenyewe utafikiri umebeba uchafu wa sumaku kichwa, ngozi ngumu kama ya kakakuona yaani hata kujikuna unajikunia gunzi. Bado Nakukumbuka sana Lucy jinsi ulivyo siku niliokuona pale Kinyerezi.
Kuhusu mimi wala sina wasi wasi kabisa, yaani nnajiamni mpaka basi maana kwa hili body langu la mauzo ukinion lazima ulowane kabla hata sijakushika, kwa huu muonekano wangu hata LL COOL J na WILL SMITH wanasubiri kwa kuvutia. Siku nikutuma picha hapa ntawavuruga wengi sana humu, wengine mtaenda kuipigia masturbation.
tatizo la kukutana na maboya matokeo yake ndio ivi. wadada wa jf badilikeni jamani mpaka mnatia huruma .
Naam "hamu"Maza konfesaa
Hata mimi pia najiona nikielekea hukoUshimen mi naachana na jf...mafuta kabisa app...afadhali hata facebook
yaani hizi I'd fake inawakosesha watu amani. bora ziunganishwe tu.
Nachukua tahadhari tu kama za kigogo cheupe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamanii
Hahahaha, aseeUnaambiwa hivi jf id hazizidi 20 zikiunganishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nachukua tahadhari tu kama za kigogo cheupe.
hata kama mkuu. mwanaume kamili haezi jibizana humu anasolve mambo yake huko Kwa pm.unajua matusi huwa inawauma sana wadada kuliko ss wanaume. tuwahurumieni basi hawa viumbe wanaroho ndogo.Ila mdada alianza mwenyewe
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.
WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.
SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.
SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.
ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.
TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.
Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.
NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.
BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.
Ila cha ajabu zaidi leo nimeona uzi wake humu Jf kaandika uongo na kaacha kuandika ukweli kuhusu tukio zima
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo D
ar?
Sky Eclat anajiheshimu sana sidhani kama ataweza fanya hivyo, ila tu nawaza ule mtongozo niliokuwa nampa wa nguvu itakuaje siku akiweka mambo hadharani, itanibidi nipotee tu humu ndani.Nimecheka sana umeamuambia sky nawe umepata amani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatuvuruga weweee
Utatufanya tulogout mwakaa [emoji125]♀[emoji125]♀[emoji125]♀
Unaambiwa hivi jf id hazizidi 20 zikiunganishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁you have made my day.Tena wewe ndio una sura mbovu kama ya bibi fisi! Miguu kama visiki vya miti, mwili upo opo tu kama diaba la maji, ujulikani mbele ni wapi wala nyuma ni wapi....meno sasa kama ya ngiri mwenye njaa,. nywele zenyewe utafikiri umebeba uchafu wa sumaku kichwa, ngozi ngumu kama ya kakakuona yaani hata kujikuna unajikunia gunzi. Bado Nakukumbuka sana Lucy jinsi ulivyo siku niliokuona pale Kinyerezi.
Kuhusu mimi wala sina wasi wasi kabisa, yaani nnajiamni mpaka basi maana kwa hili body langu la mauzo ukinion lazima ulowane kabla hata sijakushika, kwa huu muonekano wangu hata LL COOL J na WILL SMITH wanasubiri kwa kuvutia. Siku nikutuma picha hapa ntawavuruga wengi sana humu, wengine mtaenda kuipigia masturbation.
Huyu Dada anaeongelewa hapa ni mganga wa kienyeji angalia tu kumcheka kwake kukakuponzaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]you have made my day.
Tena wewe ndio una sura mbovu kama ya bibi fisi! Miguu kama visiki vya miti, mwili upo opo tu kama diaba la maji, ujulikani mbele ni wapi wala nyuma ni wapi....meno sasa kama ya ngiri mwenye njaa,. nywele zenyewe utafikiri umebeba uchafu wa sumaku kichwa, ngozi ngumu kama ya kakakuona yaani hata kujikuna unajikunia gunzi. Bado Nakukumbuka sana Lucy jinsi ulivyo siku niliokuona pale Kinyerezi.
Kuhusu mimi wala sina wasi wasi kabisa, yaani nnajiamni mpaka basi maana kwa hili body langu la mauzo ukinion lazima ulowane kabla hata sijakushika, kwa huu muonekano wangu hata LL COOL J na WILL SMITH wanasubiri kwa kuvutia. Siku nikutuma picha hapa ntawavuruga wengi sana humu, wengine mtaenda kuipigia masturbation.
Atakuwa amenyofolewa betri kichwani huyu.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani mkuu umekunywa nini leo maana si kwa mapovu haya