Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Najua mkibahatika kunifahamu mnanichambua in and out. Ila na hakika mtanifungulia njia maana najua wengi wenu humu ndani njaa zinawasumbua (sio wewe lakni)
mkuu kuhusu njaa .nakufananisha mafala wawili wa humu jf ambayo wanapenda misifa. kuta ww ni moja yao na fake I'd.
 
Sky Eclat anajiheshimu sana sidhani kama ataweza fanya hivyo, ila tu nawaza ule mtongozo niliokuwa nampa wa nguvu itakuaje siku akiweka mambo hadharani, itanibidi nipotee tu humu ndani.

Halafu wewe ni mzuri sana ingawa kuna vikasoro vidogo vidogo unavyo ambavyo hata mimi kama binadamu ninavyo, si unajua kuna kupitiwa tena. Nashangaa unaogopa nini?

Najua sky hana mambo ya ajabu
Nacheka tu eti nawe utapotea humu

Kila binadam ana mapungufu hakuna aliekamilika tufichiane aibu
Halaf baba,mama na ndugu hawajui kama tumo humu tunaandikaga upumbavu

Hakuna nachoogopa humu ila tuheshimu privacy tu hata kwa wanaotukosea tusameheane
Afu mi siku hizi nimeokokaa mwenzio shari sitaki maana mtaani maisha magumu kweli

Sasa na ile flatscreen ukirusha humu nitaambia nini watu kina Viatu vya Samaki wanajua nina chura kubwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣
Tutunziane siri
 
Najua sky hana mambo ya ajabu
Nacheka tu eti nawe utapotea humu

Kila binadam ana mapungufu hakuna aliekamilika tufichiane aibu
Halaf baba,mama na ndugu hawajui kama tumo humu tunaandikaga upumbavu

Hakuna nachoogopa humu ila tuheshimu privacy tu hata kwa wanaotukosea tusameheane
Afu mi siku hizi nimeokokaa mwenzio shari sitaki maana mtaani maisha magumu kweli

Sasa na ile flatscreen ukirusha humu nitaambia nini watu kina Viatu vya Samaki wanajua nina chura kubwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🤣
Tutunziane siri
You have my word. Jioni nitakutafuta najua utapata wasaa wa kuja sehemu nitakayokuambia hapo baadae, tupate angalau maji ya kilimanjaro.
 
Tena wewe ndio una sura mbovu kama ya bibi fisi! Miguu kama visiki vya miti, mwili upo opo tu kama diaba la maji, ujulikani mbele ni wapi wala nyuma ni wapi....meno sasa kama ya ngiri mwenye njaa,. nywele zenyewe utafikiri umebeba uchafu wa sumaku kichwa, ngozi ngumu kama ya kakakuona yaani hata kujikuna unajikunia gunzi. Bado Nakukumbuka sana Lucy jinsi ulivyo siku niliokuona pale Kinyerezi.

Kuhusu mimi wala sina wasi wasi kabisa, yaani nnajiamni mpaka basi maana kwa hili body langu la mauzo ukinion lazima ulowane kabla hata sijakushika, kwa huu muonekano wangu hata LL COOL J na WILL SMITH wanasubiri kwa kuvutia. Siku nikutuma picha hapa ntawavuruga wengi sana humu, wengine mtaenda kuipigia masturbation.
Duuh...! Watu wana matusi I see. Maneno mengine sijawahi kuyasikia,labda yapo kwenye kamusi. “mwili kama jaba la maji”-duuuh..! (Kwa maana kajajaa tu,katepetatepa hivi?“hujulikani mbele ni wapi na nyuma ni wapi?
 
Hata mimi pia najiona nikielekea huko
Yani imekua kama group la WhatsApp hivi.
Nlikua haipiti dakika naingia.lakini sasa nna wiki tatu sijaingia.kuingia Leo nakuta hivi.
Ukipost issue serious hakuna wachangiaji,kila post sasa haya madude watajaa tele.na bado utatukanwa kwa ulichoandika.
 
Kuna uzi mmoja unaelezea jinsi jamaa mmoja wa Dar alivyokimbiwa na Dada mmoja kutoka Mwanza baada ya jamaa huyo kumfosi dada hiyo wagegedane ila dada huyo hakuwa tayari.

WADAU.
Jamaa anayeelezwa hapo ni mimi kwa 100%. Nikweli nilizoeana na dada mmoja humu jf tukawa mabest sana humu jf mpaka ikafikia hatua tukawa wapenzi na kila mmoja akawa anatamani kumuona mwenzio. Hivyo tukapanga siku ili tuonane ili kila mmoja amjue mwenzie.

SIKU YA TAREHE 14-8-2019.
Hii ndiyo siku ambayo nilimtumia nauli dada huyo kiasi cha Tsh. 76,000/= ili atoke Mwanza na aje Dar ili tuweze kuonana. Na tukakubariana kwamba atafikia Guest na atakaa siku mbili na baadae ataenda kwa mjomba wake Sinza.

SIKU YA TAREHE 20-8-2019.
Ni siku ambayo dada huyo alipanda basi la ZUBERI na kuja Dar kwa lengo la kuonana na Mimi. Na tukaahidiana kwamba akifika dar tu niendee nikampokee Ubungo Stand, na akanisistizia nichukue Lodge mapema na nisisahau zana (kondom). Nikafanywa kama nilivyoagizwa nikachukua ATLATIS LODGE iliyopo kinondono na nilichukua chumba namba 116.

ALIPOFIKA DAR.
Binti huyo mwenye miaka kama 27 hivi alifika Dar mida kama ya saa tatu usiku hivi akiwa kavalia suruali nyeusi na sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nilimpokea ila stim zote zilikata maana alikuwa mfupi sana na amekomaa kisawasawa. Ila nikakaza hivyohivyo tukaenda mpaka lodge niliyochukua.

TULIPOKUWA LODGE.
Alienda kuoga akala kisha tukagegedana bao moja la fasta fasta na kisha tukaanza mazungumzo. Katika mazungumzo yake aliniambie nimkopeshe laki na nusu (150,000/=) ili ajitibie tatizo la miguu.

Napia katika mazungumzo yake, aliniomba nimshauri kama achukue mkoba wa uganga au aache. Kwani babu yake anamlazimisha ampe mkoba wa uganga ila yeye anasitasita. Nikaona haya makubwa nikapanga namna ya kumkimbia.

NAMNA NILIVYOMKIMBIA.
Niliweka alarm katika simu ya saa kumi na moja alfajili. Ilipoita tu nikajifanya nimepigiwa simu ya muhimu inayohusu msiba wa baba mdogo hivyo natakiwa niende haraka. Alilazimisha tuende wote nikamgomea. Nikamuachia elfu saba na mia nane (7800/=) nikasepa zangu mzima.

BAADA YA MIMI KUONDOKA.
Akawa ananipigia simu kuniomba nauli ili arudi Mwanza nikawa sipokei mwisho wa siku akaanza kunitumia sms za kunitukana nikawa sijibu.

Ila cha ajabu zaidi leo nimeona uzi wake humu Jf kaandika uongo na kaacha kuandika ukweli kuhusu tukio zima
Hivi umesharudi Mwanza au bado upo D
ar?
Hii bus la kufika Dar saa Tutu usiku likitokea Mwanza ....
 
Mkurugenzi wa jf naomba kuanzia sasa hivi usajili wa kujiunga jf uwe wa kutumia alama za vidole kuepuka kuwa na ID zaidi ya moja. Hii itapunguza uwepo wa member kama huyu pia server ya jf kuwa na space ya kutosha
 
Back
Top Bottom