members wote wa jf ninachukua fursa hii kuwaomba radhi na msamaha kwa kitendo cha nyinyi kuuziwa na post yangu niliyoipost ikielezea undani wa tukio zima kati yangu mimi na Dada mmoja kutoka Mwanza.
Post hiyo imepelekea mambo mengi yameibuka ikiwepo matusi kutoka kwa wachangiaji, na kikubwa zaidi post yangu hiyo imepelekea kuibuka UZI uliopewa jina la "MAHAKAMA YA HAKI" ulioanzishwa na MSHANA JR.
Kwa niaba ya dada huyo, nimejitokeza hadharani bila kushinikizwa wala kulazimishwa na mtu yoyote kuwaomba radhi wana jf nzima kwa tukio zima lililojitokeza mbele yenu lililosababishwa na post yangu.
Sambamba na radhi yangu hiyo mbele yenu nilikuwa naomba mniruhusu ni screenshot conversations moja katika PM yangu ili mstaajabu wenyewe kuhusu mambo ya dunia ila kama msipo niruhusu sintofanya hivyo.
Mahakama ya haki iliyoanzishwa na MSHANA JR imeplay part kwa 37% juu ya msamaha wangu huu.
Tunakili wazi tulitumia emotions and not mind kufanya haya yalitokea. Together we say very sorry.
Ni hayo tu ndugu zangu ila kama mtaniruhu kuscreenshoot nitafanya hivyo ila kama hamtaniruhusu sintofanya hivyo.
Kwa uzuni kubwa nawatakia siku njema.