Samahani nataka kuwafahamu hawa wadada ni akina nani na wanafanya nini mjinii?

Samahani nataka kuwafahamu hawa wadada ni akina nani na wanafanya nini mjinii?

Angalia mazingira ulipowatoa utajua tu..wajasiriamiili
 
Huyo wa "Out and about" namfahamu nje ndani..
 
Niwakawaida sana wengi humu hatuwafahamu lete watoto classic bwanaa.
Lete toto totooo ukimwangalia hamaliziki.
You let me down.
 
Sasa mbona na wewe mwenyewe uliyeandika hii post uko kwenye hizo picha? Hujijui mwenyewe na unafanya nin mjin? Te Te Te Te
Hahahah mkuu umemshtukia nawewe?! Au anadhani watu hatumjui
 
11821054_491983094298452_406437550_n-jpg.392927
 
Huyo mwenye jeans ya blue nimependa hiyo swager ya mikato hapo mbele ngoja niisave picha na mie nikakate jeans kama hivyo....lol
 
Back
Top Bottom