Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Oct 25, 2008 #21 Mzee Mwanakijiji said: Na ninafahamu kuwa waliohusika tayari wameshachukuliwa hatua. Done, happy now? Click to expand... Kama sikumalizia kusoma hapa mwisho,,, roho ilishaanza kuacha mwili,,, du!!!! Salaaale. Mzee Mwanakijiji wengine tuna shinikizo la damu, sukari na chumvi pia. Acha utani saa nyingine maana twaweza kufa ati.
Mzee Mwanakijiji said: Na ninafahamu kuwa waliohusika tayari wameshachukuliwa hatua. Done, happy now? Click to expand... Kama sikumalizia kusoma hapa mwisho,,, roho ilishaanza kuacha mwili,,, du!!!! Salaaale. Mzee Mwanakijiji wengine tuna shinikizo la damu, sukari na chumvi pia. Acha utani saa nyingine maana twaweza kufa ati.