Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
Na ninafahamu kuwa waliohusika tayari wameshachukuliwa hatua.
Done, happy now?
Kama sikumalizia kusoma hapa mwisho,,, roho ilishaanza kuacha mwili,,, du!!!! Salaaale.
Mzee Mwanakijiji wengine tuna shinikizo la damu, sukari na chumvi pia. Acha utani saa nyingine maana twaweza kufa ati.