NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla ya 8, alitupia dhidi ya Belouzdad, katupia dhidi ya simba sc , mwamba anatupia kwenye mechi muhimu tu
hakika guede ni ,mwamba na ukibisha njoo utuambie kibu mkandaj ana magoli mangapi ukijumlisha ya ligi, kimataifa na ndondo cup.