NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Sasa kashaingia kwenye mfumo wa YASC.Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla ya 8, alitupia dhidi ya Belouzdad, katupia dhidi ya simba sc , mwamba anatupia kwenye mechi muhimu tu
hakika guede ni ,mwamba na ukibisha njoo utuambie kibu mkandaj ana magoli mangapi ukijumlisha ya ligi, kimataifa na ndondo cup.
Mkuu hiyo Guede Jr umejiongeza baada ya kuona ile J mbele ya jina lake? Ile J ni Joseph sio JuniorWale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla ya 8, alitupia dhidi ya Belouzdad, katupia dhidi ya simba sc , mwamba anatupia kwenye mechi muhimu tu
hakika guede ni ,mwamba na ukibisha njoo utuambie kibu mkandaj ana magoli mangapi ukijumlisha ya ligi, kimataifa na ndondo cup.
Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia .
mwamba hivi sasa ana magoli jumla ya 8, alitupia dhidi ya Belouzdad, katupia dhidi ya simba sc , mwamba anatupia kwenye mechi muhimu tu
hakika guede ni ,mwamba na ukibisha njoo utuambie kibu mkandaj ana magoli mangapi ukijumlisha ya ligi, kimataifa na ndondo cup.πππππ πππππ ππππππ ππππ ππ πππ ππ ππππ
Uzuri wa kibu anaweza kutumika ktk namba nyingi na watu wenye nguvu nhuvu na mikimbio ndio anao wataka gamond mfano timu ndogo za mikoani zikipaki bus gamond amekuwa na kawaida ya kumtoa mudathir na kumuweka mzize au musonda kama namba 6 ili kuwavuruga wapaki bus na matokeo anapata huyu kibu akija yanga atachezeshwa namba nyingi kama akina musonda anafaa sana viongozi wachangamkie fursaUungwana ni vitendo. Hata mimi mwanzonii sikumuelewa kabisa. Ila kwa sasa walau nimeanza kumkubali kiana. Ila bado anatakiwa akaze msuli.