maxmiller pro
JF-Expert Member
- Jan 1, 2022
- 225
- 399
Kama kuna aliyeielewa hii siledi anitolee ufafanuziKuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.
Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.
Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.
Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. ππ
Nimewaona, ahsante saaanaHumu kuna baadhi ya watu ni wa ovyo sana,kuna makini.mungu akubariki kwa kujishusha.akupe hitaji la moyo wako.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nasema mimi hapa ni mpya najifunza. Kama nilikujibu kwa bahati mbaya na sio mada yangu, wanisamehe sina zaidi.Kama kuna aliyeielewa hii siledi anitolee ufafanuzi
Kwann usingepost kwenye jukwaa la misamaha?Nasema mimi hapa ni mpya najifunza. Kama nilikujibu kwa bahati mbaya na sio mada yangu, wanisamehe sina zaidi.
Nimeshatuma tayariKwann usingepost kwenye jukwaa la misamaha?
Anyway, nimekusamehe mkuu
Miaka 40 uko shule hujamaliza tu kujifunza?Sawa najifunza
Nani kasemaMiaka 40 uko shule hujamaliza tu kujifunza?
Tayari nini ??Nipo North London babe au tayari waungwana π
Kuwa mbishi.Usiombeombe msamaha.Nakusubiri nikuoe.Mke wangu@khantwe amanikubalia kuongeza mke.Nasema mimi hapa ni mpya najifunza. Kama nilikujibu kwa bahati mbaya na sio mada yangu, wanisamehe sina zaidi.
Mimi ndio nilivyo ni mpole mnooKuwa mbishi.Usiombeombe msamaha.Nakusubiri nikuoe.Mke wangu@khantwe amanikubalia kuongeza mke.
Na hao ni wanao ??Mimi ndio nilivyo ni mpole mnoo
Kina nani umewaona?Nimesha waona tayari, ahsante saaana
Noma sanaNa hao ni wanao ??
HahaaaaaaaMiaka 40 uko shule hujamaliza tu kujifunza?
RelaksKuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.
Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.
Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.
Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. [emoji120][emoji120]
ππRelaks
Kukosea kupo.
Ukiitaji msaada zaidi uniulizage mimi ingawa mi ni choggo. [emoji23][emoji23][emoji23]