Samahani sana

Samahani sana

Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.

Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.

Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.

Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. 🙏🙏
Kama kuna aliyeielewa hii siledi anitolee ufafanuzi
 
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.

Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.

Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.

Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. [emoji120][emoji120]
Relaks
Kukosea kupo.
Ukiitaji msaada zaidi uniulizage mimi ingawa mi ni choggo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom