Samahani sana

............ ahsante sanaa


Hat sielew nn knaendlea
 
Nasema mimi hapa ni mpya najifunza. Kama nilikujibu kwa bahati mbaya na sio mada yangu, wanisamehe sina zaidi.
[emoji23]Dah, ila siku ya jana ulizingua parefu. Ukaniweka kwenye kundi la watumia 715. Niliuzunika sana aisee[emoji29]

Na mimi pia nimekusamehe, na pia numetokea kukupenda. Ngoja nije PM nijitongozeshe kwa kweli. Haiwezekani uishi London peke yako. Kumbe ukiwa London, jf inashika fresh wakuu? [emoji41]
 
Ndoto zangu ni kuja kuoa toto la Kipemba jamani nawapenda kufa hawa wadada wa Kipemba 😍😍😍
 
Pole kwa kukuhuzunisha, nimeelezea kutojua kutumia vizuri. πŸ™πŸ™
 
[emoji23]
 
Wanawake wote wangekuwa Kama wewe ingependeza sana. Allah akufanyie wepesi kwenye Jambo lako inshaallah
 
Kwakweli ulitushambulia hata tuliokushauri uepuke vipi kero za humu.
 
Unafaa kuwa mke unakubali kosa unapokosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…