Samahani sana

Samahani sana

Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.

Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.

Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.

Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. [emoji120][emoji120]
............ ahsante sanaa

Hat sielew nn knaendlea
 
Nasema mimi hapa ni mpya najifunza. Kama nilikujibu kwa bahati mbaya na sio mada yangu, wanisamehe sina zaidi.
[emoji23]Dah, ila siku ya jana ulizingua parefu. Ukaniweka kwenye kundi la watumia 715. Niliuzunika sana aisee[emoji29]

Na mimi pia nimekusamehe, na pia numetokea kukupenda. Ngoja nije PM nijitongozeshe kwa kweli. Haiwezekani uishi London peke yako. Kumbe ukiwa London, jf inashika fresh wakuu? [emoji41]
 
Kuna kitu nataka sema, nimekuwa najibu mada tofauti ambazo sio zangu.

Jamani sio kusudio langu, sikujua bado najifunza kutumia jukwa hili vyema.

Kuna baadhi ya watu wameniambia na nimefurahi kufahamishwa na nimeomba msamaha.

Ambao hawakusema kitu nawaomba msamaha na hao pia. 🙏🙏
Ndoto zangu ni kuja kuoa toto la Kipemba jamani nawapenda kufa hawa wadada wa Kipemba 😍😍😍
 
[emoji23]Dah, ila siku ya jana ulizingua parefu. Ukaniweka kwenye kundi la watumia 715. Niliuzunika sana aisee[emoji29]

Na mimi pia nimekusamehe, na pia numetokea kukupenda. Ngoja nije PM nijitongozeshe kwa kweli. Haiwezekani uishi London peke yako. Kumbe ukiwa London, jf inashika fresh wakuu? [emoji41]
Pole kwa kukuhuzunisha, nimeelezea kutojua kutumia vizuri. 🙏🙏
 
[emoji23]Dah, ila siku ya jana ulizingua parefu. Ukaniweka kwenye kundi la watumia 715. Niliuzunika sana aisee[emoji29]

Na mimi pia nimekusamehe, na pia numetokea kukupenda. Ngoja nije PM nijitongozeshe kwa kweli. Haiwezekani uishi London peke yako. Kumbe ukiwa London, jf inashika fresh wakuu? [emoji41]
[emoji23]
 
Wanawake wote wangekuwa Kama wewe ingependeza sana. Allah akufanyie wepesi kwenye Jambo lako inshaallah
 
Kwakweli ulitushambulia hata tuliokushauri uepuke vipi kero za humu.
 
Back
Top Bottom