Samahani wadau anayejua hii mambo ya accounting packages

Samahani wadau anayejua hii mambo ya accounting packages

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
mi nina mpango wa kwenda kusoma hii mambo pamoja na tally lakini sina clue yoyote juu ya gharama mwenye kujua anambie pliz
 
Salaam, Karibu Zenith Technologies
Tupo Mwembecha PLAZA 1st Floor
Utaweza kusoma kozi za Accounting Package (QuickBooks & Tally)
Pia tuna Program zingine kama Web Designing, Networking, PC Technician, Adobe Applications, etc
Kwa Maelezo wasiliana kwa
0713-731555
email: zentechno@live.com
 
Back
Top Bottom