Samahani Wadau Nauliza Muda Muafaka na Namna Nzuri ya Kunywa Dawa za Minyoo

Samahani Wadau Nauliza Muda Muafaka na Namna Nzuri ya Kunywa Dawa za Minyoo

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,855
Reaction score
402
Wakuu,

Mara nyingi nikipewa dawa za minyoo huambiwa nitumie asubuhi kabla sijala kitu chochote. Natambua kuwa huo ni muda muafaka kwa assumption kwamba tumbo linakuwa empty kwa maana kwamba halina chakula na kwa hiyo chances za minyoo kula dawa ni kubwa.

Ninachota kujua ni je, endapo nimekula chakula asubuhi mida ya saa mbili then nikikaa mpaka saa tisa alasiri bila kula chochote, siwezi kutumia dawa ya minyoo na ikawa effective? Nauliza hivi kwa sababu asubuhi imekuwa ikisisitizwa zaidi kuliko mchana.

Suala lingine ni kwamba mimi nina kawaida ya kunywa maji asubuhi kabla ya kupiga mswaki. Huwa nakunywa glasi kama tatu hivi. Ninachopenda kujua ni Je, nikinywa maji mengi then immediately nikitumia dawa ya minyoo, inaweza kufanya kazi vizuri kama kawaida au maji yatapunguza nguvu ya dawa in the same way na tumbo linapokuwa na chakula. Nauliza hivi kwa lengo la kuona uwezekano wa kuacha kabisa unywaji wa maji ninapotumia dawa za minyoo kama navyofanya kwa upande wa chakula.
 
Duh watu mnachallenge? Kweli hiki sio kizazi cha Mambulula
 
For some reason nadhani kunywa dawa ya minyoo asubuhi inakuwa effective zaidi. Kwa sababu watu wengine huambatana na kuunguruma kwa tumbo, kitu ambacho nadhani ni embarrassing. Labda useme ni kwa nini hupendi kutumia dawa asubuhi.

Unaweza ukaamka mapema zaidi, ukatafuna na kunywa maji kidogo kama glass moja. Then baada ya nusu saa ukanywa maji yako unavyotaka.
 
For some reason nadhani kunywa dawa ya minyoo asubuhi inakuwa effective zaidi. Kwa sababu watu wengine huambatana na kuunguruma kwa tumbo, kitu ambacho nadhani ni embarrassing. Labda useme ni kwa nini hupendi kutumia dawa asubuhi.

Unaweza ukaamka mapema zaidi, ukatafuna na kunywa maji kidogo kama glass moja. Then baada ya nusu saa ukanywa maji yako unavyotaka.
King'asti nawe mtaalam siku hizi!!!!
 
umeuliza swali zuri, tena una maelezo mazuri pongezi
kiutaratibu dawa nyingi tunatoa asubuhi, kama ulivoeleza tumbo linakua wazi
kwa magonjwa mengi ya tumbo hivo wale wadudu wanakua prone kwa dawasasa ni jambo geni sana kuwaambia watu ati wasile wakisubiri tumbo liwe wazi ndo watumie dawa akati kuna natural way ya kuwa na tumbo empty
ndo maana tunatumia hiyo oppotunity ya asubuhi,
pili minyoo sio jambo la hatari, it's not an imergency situation kwamba lazima unywe leo? HAPANA
unaweza ukapewa dawa leo ukatumia kesho au keshokutwa tofauti na magonjwa menginekama malaria amboya kuna hofu kubwa ya kuwa seriouz,, yakaondoa maisha ya mtu
kwa dawa za minyoo, utaratibu uliokubalika na wengi, ukiwa na ushahidi wa kimatibabu
evidence based medicine, ni vema ukatumia asubuhi, kumbuka pia physiology ya mwili inabadilika na siku
asubuhi tumbo linakua limerelax mchan jumlisha na mambo yote mengine kwamba haukua umelala i think unaweza kufikiri ni kwa nini unashauriwa kula dwa za minyoo asubuhi
 
Back
Top Bottom