Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Wakuu,
Mara nyingi nikipewa dawa za minyoo huambiwa nitumie asubuhi kabla sijala kitu chochote. Natambua kuwa huo ni muda muafaka kwa assumption kwamba tumbo linakuwa empty kwa maana kwamba halina chakula na kwa hiyo chances za minyoo kula dawa ni kubwa.
Ninachota kujua ni je, endapo nimekula chakula asubuhi mida ya saa mbili then nikikaa mpaka saa tisa alasiri bila kula chochote, siwezi kutumia dawa ya minyoo na ikawa effective? Nauliza hivi kwa sababu asubuhi imekuwa ikisisitizwa zaidi kuliko mchana.
Suala lingine ni kwamba mimi nina kawaida ya kunywa maji asubuhi kabla ya kupiga mswaki. Huwa nakunywa glasi kama tatu hivi. Ninachopenda kujua ni Je, nikinywa maji mengi then immediately nikitumia dawa ya minyoo, inaweza kufanya kazi vizuri kama kawaida au maji yatapunguza nguvu ya dawa in the same way na tumbo linapokuwa na chakula. Nauliza hivi kwa lengo la kuona uwezekano wa kuacha kabisa unywaji wa maji ninapotumia dawa za minyoo kama navyofanya kwa upande wa chakula.