comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Ama hakika mimi ndimi.
Naitwa kipepe the GIANT!
Ni ukweli nilishawahi kuweka thread kua natafuta mwanamke, lakini nimeshampata niliyemtaka(MATILDA), Ndio maana mnaona siwajibu.
Uongozi wa JF fungeni ule Uzi wangu niliokua natafuta mwanamke, maana PM kwangu kumekua na vurumai aseeee!
Link ya huo Uzi hii hapa chini ufungeni basi Moderators
www.jamiiforums.com
Hembu oneni PM yangu inavyosoma manamba mengi aseee!! Dada zangu acheni basiiiii nishampata MATILDA!!!

NATAFUTA MREMBO WA KUNIPA RAHA DUNIANIIII!!!
Mbele ya mboni za macho yenu ndugu watazamajii! Mfanyabiasha mkubwa na mwanasaikolojia KIPEPE, Nipo hapa kutafuta mtoto mkaliiiiiiii!!! Ebbanaaaa! Uwe mkali aseeee! Maana komredi ni Kijana tajiri niliesimika Jumba la kifahari katika Jiji la Dar.. Nahitaji mama mwenye nyumba uwe...