Samahani wanawake wote mnaoniPM

Samahani wanawake wote mnaoniPM

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Ama hakika mimi ndimi.
Naitwa kipepe the GIANT!

Ni ukweli nilishawahi kuweka thread kua natafuta mwanamke, lakini nimeshampata niliyemtaka(MATILDA), Ndio maana mnaona siwajibu.

Uongozi wa JF fungeni ule Uzi wangu niliokua natafuta mwanamke, maana PM kwangu kumekua na vurumai aseeee!

Link ya huo Uzi hii hapa chini ufungeni basi Moderators



Hembu oneni PM yangu inavyosoma manamba mengi aseee!! Dada zangu acheni basiiiii nishampata MATILDA!!!

Screenshot_2019-07-07-23-52-11.jpeg
 
Back
Top Bottom