Aaah no.... Nimesema tu sijamaanisha[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kwa hiyo nakuwa attacked hapa??
ZeshKwa hiyo hebu sema moja mkuu mbona unatuchanganya?? Unamtaka nani haswa??
Sasa nakutumia namba ya huyo binti, hebu tupia japo 200k kwanza kabla hatujaendeleaPesa ipo ya kumwaga
Eeeeh hebu taja mwenzio anasubiri kuambiwa kima cha mahari puliiiizNimepata hiyo privilege??
Eeeh aseme asichanganye madawaKwa hiyo hebu sema moja mkuu mbona unatuchanganya?? Unamtaka nani haswa??
Subiri kidogo mpaka tupate muafaka wa mahariNitumie namba hizo PM
Aseeee mrembo Zesh ndani ya mjengo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Mwambie comred kipepe anisamehe sana nipo tayari aniwowe
Eeeh Kuna harufu ya kubaniana hapaSubiri kwanza afkiriwe
AseeeeSubiri kidogo mpaka tupate muafaka wa mahari
NdiwoooSasa na wewe usije ukatajiwa bei ukaanza kumbwela hapa
[emoji29][emoji29][emoji29]Sasa je, wengine tukiingilia kati hakuna linaloshindikana[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndio ndioSasa nakutumia namba ya huyo binti, hebu tupia japo 200k kwanza kabla hatujaendelea
Katika Top3 wewe Ndio umepita katika mchujoEeeh aseme asichanganye madawa
In da house yaani nakuja kukupa vyote comrade mpaka usahau ukoo wenu hehehehehehAseeee mrembo Zesh ndani ya mjengo
Iwe yake kweliSasa nakutumia namba ya huyo binti, hebu tupia japo 200k kwanza kabla hatujaendelea
Aseee vyote nitafaidi nitatoka hadi maudenda kama zezeta kwa huo utamu.In da house yaani nakuja kukupa vyote comrade mpaka usahau ukoo wenu heheheheheh
Nakuhakikishia sitokuangusha kabisa.... Yaani Ile unarudi home nakuja kukupokea uwanjani na makiss ya hajaaa... Ukifika ndani sasa utaulizwa unaanza kula kipi kati ya kilichopikwa na mpikaji!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katika Top3 wewe Ndio umepita katika mchujo
Unaachaje kuwa zezeta kwa mfanoAseee vyote nitafaidi nitatoka hadi maudenda kama zezeta kwa huo utamu.
Aseee hapo nitadili na mpishi kwanza chakula kipo tuuu . . nitafakamia kama nimetoka gerezaniNakuhakikishia sitokuangusha kabisa.... Yaani Ile unarudi home nakuja kukupokea uwanjani na makiss ya hajaaa... Ukifika ndani sasa utaulizwa unaanza kula kipi kati ya kilichopikwa na mpikaji!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni utangulizi
Eeebanaaae!! Zeshcrisss a.k.a Full PackageUnaachaje kuwa zezeta kwa mfano