comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #261
Zeshcriss ananitoshaAmetufanyia vibaya kweli. Tangazo alete mwenyewe halafu atuzuie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zeshcriss ananitoshaAmetufanyia vibaya kweli. Tangazo alete mwenyewe halafu atuzuie.
Wife wa huyo mshenga wako. Anaitwa hivyo hivyo.Yangeyange Ndio nani
Yupo jf? Sijawahi kuiona hiyo usernameWife wa huyo mshenga wako. Anaitwa hivyo hivyo.
Zeshcriss ananitosha
Wewe ndiwe chaguo languOooh
Basi fungua tuje kuomba hata helaZeshcriss ananitosha
YupoYupo jf? Sijawahi kuiona hiyo username
Imenibidi niangalie mara mbili x2[emoji23][emoji23]
Wewe ndiwe chaguo langu
Hahaha hahahahahaha karibu bossWew ndio matilda?
Naomba nije piemu
Ombi lako limesikika, pm imefunguliwaBasi fungua tuje kuomba hata hela
Upinzani ni mkali sana, watu wasione kituHahaha hahahahahaha karibu boss
Punguza wivu basi wengine mashemeji zako uwaamkie ohoooUpinzani ni mkali sana, watu wasione kitu
Wivvu lazimaPunguza wivu basi wengine mashemeji zako uwaamkie ohooo
Wivvu lazimaPunguza wivu basi wengine mashemeji zako uwaamkie ohooo
ASeee sijawahi kumuona mke wa mshenga wanguYupo
Oooh basi hazard fc ni shemejiyo kuanzia leo uwe na adabu kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wivvu lazima
🤣🤣🤣🤣FRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaa
I love yuuu Fragariiiiiaaaazzzzz