Wachokozi nyinyi!Mtoto anaonekana kama mboga 7 hivi
Mi si nilishakuja katika wale 12?Huyo fragaria Ndio kapiga kimya
Mi si nilishakuja katika wale 12?
Oooh basi hazard fc ni shemejiyo kuanzia leo uwe na adabu kwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachokozi nyinyi!
πππ
Miss you too.Nimekumiss tu..
Ila nadhani alikuwa na kusudi lake kwani a screenshot pahala penye ID yako?[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]..Nilishapanic mwenzako...hahaha...!
Ila nadhani alikuwa na kusudi lake kwani a screenshot pahala penye ID yako?[emoji1787][emoji1787]
yaani nilivyofungua uzi tu nikaona manengelo na ile heading nikasema best wamemhaki nini. kuangalia vizuri ikabidi nile pini, sijakaa sawa wewe huyo. yaani kidogo tu nikutumie ki screenshot π π ππhahahaha best kwahyo unahis nilizama hahajaπππ...!jaman..
hili jina linanichekesha sana nikiliona.Miss you too.
yaani nilivyofungua uzi tu nikaona manengelo na ile heading nikasema best wamemhaki nini. kuangalia vizuri ikabidi nile pini, sijakaa sawa wewe huyo. yaani kidogo tu nikutumie ki screenshot π π ππ
Pic inayoonekana umevaa miwani Ndio wewe???hahahaha best kwahyo unahis nilizama hahaja[emoji23][emoji23][emoji23]...!jaman..
Alafu mbona kny jukwaa letu sioni updates au wameni unsubscribe?ππππππππππππππ
Alafu mbona kny jukwaa letu sioni updates au wameni unsubscribe?
OkHapana boss
wewe sasa.... ngoja nikuache nisije kukuharibia siku maana nilichotaka kusema unaweza kusa usingizi πmie mwenyeq sijauona mudaa..nna tonsils bas najionea taabu