Samahani wanawake wote mnaoniPM

Ni wale wasiochangia Mada, lakini Hawa tunaokesha nao hapa kuna walakini
Hapana mzee!

Hujapata exposure ya kutosha, humu kuna wadada ni first class kabisa. Unajua vile mtu amehonga wilaya kwa mdada??? Basi wapo wanaume wanaweza honga dunia ili kuwa nao.

Tafadhali naomba usiniambie nkutajie baadhi yao.
 
Don't judge a person with fake IDentification, WATI EEEE FAKI A YU TOKINGI ABAUTI???

Watu tunakuja tuu hapa kumaliza stress, naandika chochote ninachojiskia... Sasa wewe pagawa na jina
 
Ndiwooo nilienda ... ndio tunaumbuliwa hapa![emoji1787]
FRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaa

I love yuuu Fragariiiiiaaaazzzzz
 
πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Hapana mzee!

Hujapata exposure ya kutosha, humu kuna wadada ni first class kabisa. Unajua vile mtu amehonga wilaya kwa mdada??? Basi wapo wanaume wanaweza honga dunia ili kuwa nao.

Tafadhali naomba usiniambie nkutajie baadhi yao.
Nitajie PM mkuu ausiio
 
Kwa hiyo mkuu unatamani waje PM sio?? Maana hapa sasa sijakuelewa kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…