comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #101
Zeshcriss nakuekewaga sanaBora linipite tu niko tayari kulala kwa mkeka kuliko ehheheehheeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zeshcriss nakuekewaga sanaBora linipite tu niko tayari kulala kwa mkeka kuliko ehheheehheeh
Hapana mzee!Ni wale wasiochangia Mada, lakini Hawa tunaokesha nao hapa kuna walakini
Don't judge a person with fake IDentification, WATI EEEE FAKI A YU TOKINGI ABAUTI???Unajua mtu yyt succesful (hasa men)hawez jiita komred kipepe[emoji28][emoji28]..niamini mm..
Na mtu yyt smart upstairs hawez jiita hvyo..kuna majina yanachagiza sana na ww ulivyo...yaanakisi kbs uhalisia wako...sasa mwnamke timilifu kumfata komredi kipepe[emoji23][emoji23][emoji57]piyemu inaleta "wahka" wa ajabu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
One day yesEeeeeeh we samahani kwa kweli hahahahahahahah sina ninaefanana nae I'd humu.. Then mimi mwenyewe siwezi kuja hata kwa bunduki
Kabisa bro! Hakuna kukata tamaaOne day yes
Don't judge a person with fake IDentification, WATI EEEE FAKI A YU TOKINGI ABAUTI???
Watu tunakuja tuu hapa kumaliza stress, naandika chochote ninachojiskia... Sasa wewe pagawa na jina
FRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaaNdiwooo nilienda ... ndio tunaumbuliwa hapa![emoji1787]
Ama hakikaKabisa bro! Hakuna kukata tamaa
FRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaa
I love yuuu Fragariiiiiaaaazzzzz
Ok[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nitajie PM mkuu ausiioHapana mzee!
Hujapata exposure ya kutosha, humu kuna wadada ni first class kabisa. Unajua vile mtu amehonga wilaya kwa mdada??? Basi wapo wanaume wanaweza honga dunia ili kuwa nao.
Tafadhali naomba usiniambie nkutajie baadhi yao.
Best best best best.Hahaha Easy mazee..hata mm nimeandikakujifurahisha na kupunguza machungu ya maisha ..sio serious
Kwa hiyo mkuu unatamani waje PM sio?? Maana hapa sasa sijakuelewa kdgFRAGARIAAAAA, PM pangekuja mtu kama wewe hata Uzi nisingefungua, jina lenyewe FRAGARIA, Linaonyesha ni jinsi gani ulivyo mzuri, sio mtu et anajiita manengelo, sasa manengelo Ndio nini??? Si bora angejiita LINENGELO yaani limoja halafu likubwa ahahaahahaa
I love yuuu Fragariiiiiaaaazzzzz
😄😄😄😄😄😄😄😄Nitajie PM mkuu ausiio
Natamani Fragaria Ndio aje PMKwa hiyo mkuu unatamani waje PM sio?? Maana hapa sasa sijakuelewa kdg
Safi sana!Natamani Fragaria Ndio aje PM
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]One day yes
Unakazia sio?Kabisa bro! Hakuna kukata tamaa