Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio ndege John,jokeri n.khuyo ni muuza viepe mkuu wala siyo beira
GENTAAiseee...yani una ID nyingine 12???
Naona umezitumia kuji pm.
Ulianza na beira hahahaha
Ama hakika, unashangaaa?! ama una shangazwa?Hahahahahaha hivi kabisa watu wanakuja pm kwako kutaka uwaoe?
Kwamba huwezi kwenda piyemu??😅😅..nimeona...!bas nilioverlook...lol ningrjikana had asbh jogoo zinawika
Kwani haiwezekani???Hahahahahaha hivi kabisa watu wanakuja pm kwako kutaka uwaoe?
Nakuaminia😅😅😅😅 Haiji tokea...!khaa!
dont tukanaz ze mambaz before u crosi ze rivaí ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ Haiji tokea...!khaa!
dont tukanaz ze mambaz before u crosi ze riva
Ok manengeloz, usichukulie poa.. mimi ndimi.hahahhahaa kwamba ww utangaze unatafuta mwanamke mimi manengelo nije pm paap..kujitambulishaí ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸....dah....daharau hizi jaman...!
Labda ukubali NIKUOE..
Sema bwana zero aikyuuuPromo at work...Post zako zinataka kufanana na zile za bwana Deo
mtoa mada nimeona jina langu..hebu screen shot kbs !hebu jaribu kukua basi na ww...!mie niende pm kwa men kufanya nn lakini??
Nmejikuta nimesituka kamoyo kanadunda kama kitenesi [emoji13][emoji13]
Kwa akili za mtoa mada nitashangaa sana hehehehe hebu nipite mieKwani haiwezekani???