Kafanya vibaya kuona hawezi kufananishwa nami kutokana na imani yangu. Nimejaribu kumwambia kama atajisikia vizuri nikimuita kwa hilo jina cuz yeye kataja iman yangu kabisa!! Kwa mtizamo wangu naona anastahili kuitwa Kafiri!Rejao,
Kafiri ni derogatory,
Kakuita Muislam, kwani nalo ni jiba baya lisilopendwa?
Aaah..pamoja na jitihada zangu zote nimeshindwa kukukip alive! Haya dia, pumzika salama! Mimi naendelea kukesha
acha uchonganishi mkuu!watu walishaanza kusahau aibu aliyoipata wewe unataka kukumbushia...Rudi basi kwenye debate.