Samahanini wakina Angel mliopo humu jamvini!!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,661
Reaction score
1,267
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza ni kwamba hao machangudoa wanaokaa kwenye hiyo nyumba,wote ni under 25,alafu wote wanajina moja hilo hilo la Angel,yaani mpaka inafikia mtu anamuelekeza mwingine bwana nipo hapa karibu na kwa kina Angel.Na sio hao tuu hata machangudoa wengine ambao hawaishi humo,yaani ukiwaita angel tuu wanageuka au mara nyingine hukufuata kabisa.Sasa hivi inawezekana nyumba inayohost watu karibu 30,kuhifadhi watu wenye jina moja tuu,au hii Angel inamaana katika shughuli zao?
 
Humu JF kuna angel msofe...Nimesema tu
 
Last edited by a moderator:
Nahisi wanajipachika tu hilo jina kwa ajili ya kazi, na kwa vile linasound utamu basi.....
 
Na hata hao watoto wenyewe watamu kwelikweli sio jina tuu,yaani kama bidhaa hizi ni mpya,wengine wanasoma,yaani asubuhi shule,jioni kazini,huwezi amini kila siku wazazi wanawafuata bt watoto hawataki kurudi makwao,ngoma imewanogea!!!
 
Mkuu mchajikobe hii guest ipo mitaa gani na inaitwaje nataka nifanye dili.
Sitaki kuhatarisha mahusiano yako,coz ukianzaa kudeal na hawa amini nakuambia hautahitaji mpenzi wa kuumizana kichwa mara vocha,mara outing,yaani hawa ni pesa unakula mzigo,kesho unahamia mlango mwingine,na uzuri wao hawakatai hela,alafu unaweza ukakuta ni warembo kuliko demu wako!!!Kama kunakamoja kakenya hako,hata ukikaintroduce kwenu hawawezi kukikataa na watahoji ulipokipata!!!
 
Nitatua dar. muda si mwingi, sasa mkuu hili ni ombi rasmi: kwa sababu sina mwenyeji jijini hapo, naomba nipelekee kwenye email yangu jina la hiyo gesti. hako kakenya unakokasifia saaaana naona nitaanza nako.
 
Mkuu nipatie dairekshen basi angalau niipendezeshe Furaidei yangu yangu kwa kitu kipya kwangu lakini
 
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza ni kwamba hao machangudoa wanaokaa kwenye hiyo nyumba,wote ni under 25,alafu wote wanajina moja hilo hilo la Angel,yaani mpaka inafikia mtu anamuelekeza mwingine bwana nipo hapa karibu na kwa kina Angel.Na sio hao tuu hata machangudoa wengine ambao hawaishi humo,yaani ukiwaita angel tuu wanageuka au mara nyingine hukufuata kabisa.Sasa hivi inawezekana nyumba inayohost watu karibu 30,kuhifadhi watu wenye jina moja tuu,au hii Angel inamaana katika shughuli zao?

Ni jina la kazi tu.....code name....
Kuna sehemu wanajiita sweet....jina la endana na huduma wanayotoa....
 
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza ni kwamba hao machangudoa wanaokaa kwenye hiyo nyumba,wote ni under 25,alafu wote wanajina moja hilo hilo la Angel,yaani mpaka inafikia mtu anamuelekeza mwingine bwana nipo hapa karibu na kwa kina Angel.Na sio hao tuu hata machangudoa wengine ambao hawaishi humo,yaani ukiwaita angel tuu wanageuka au mara nyingine hukufuata kabisa.Sasa hivi inawezekana nyumba inayohost watu karibu 30,kuhifadhi watu wenye jina moja tuu,au hii Angel inamaana katika shughuli zao?

yawezekana angel ni jina la kazi..kama wewe jina lako la JF ni MCHAJIKOBE
 
Katavi hiyo Guest ni ngeni kwangu huyu mchajikobe nimeomba direction hajanipa sijui sanaaa?
 
Last edited by a moderator:
Nitatua dar. muda si mwingi, sasa mkuu hili ni ombi rasmi: kwa sababu sina mwenyeji jijini hapo, naomba nipelekee kwenye email yangu jina la hiyo gesti. hako kakenya unakokasifia saaaana naona nitaanza nako.

Jamaa kauliza wadada kwa nini wanajiita Angels..lakini naona ni kama vile alipoteza muda manake imekuwa tofauti..lol!
 
Na hata hao watoto wenyewe watamu kwelikweli sio jina tuu,yaani kama bidhaa hizi ni mpya,wengine wanasoma,yaani asubuhi shule,jioni kazini,huwezi amini kila siku wazazi wanawafuata bt watoto hawataki kurudi makwao,ngoma imewanogea!!!
Talking from experience eeeeh?
 
jamani kwa upeo wangu, angel labda wanatumia kama vile ukimwita mpenzi wako, 'my angel nakupenda sana' labda...so wao ni angel wa kila mtu...lol!
Napenda kuwaomba samahani wakinadada wote wenye majina ya Angel,na pia kuhoji ni kwanini Angel tuu?Huku tunapoishi sisi mitaa kuna nyumba moja ya wageni(guest house) yote wamepangisha machangudoa,na mitaa hii ni moja kati ya mitaa iliyosheheni machangudoa hapa mjini darisalama,kinachonishangaza ni kwamba hao machangudoa wanaokaa kwenye hiyo nyumba,wote ni under 25,alafu wote wanajina moja hilo hilo la Angel,yaani mpaka inafikia mtu anamuelekeza mwingine bwana nipo hapa karibu na kwa kina Angel.Na sio hao tuu hata machangudoa wengine ambao hawaishi humo,yaani ukiwaita angel tuu wanageuka au mara nyingine hukufuata kabisa.Sasa hivi inawezekana nyumba inayohost watu karibu 30,kuhifadhi watu wenye jina moja tuu,au hii Angel inamaana katika shughuli zao?
 
Du wapiga para wakae macho apo. Angel wa leo co wa Kesho. Iyo ni xoo member
 
Back
Top Bottom