Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ukiwa huko guest unajiita nani?
Inaitwa milan itafute kwenye google map!!!Katavi hiyo Guest ni ngeni kwangu huyu mchajikobe nimeomba direction hajanipa sijui sanaaa?
Usijifanye hujui,kwani sikuile nilikuambia naitwa nani nilipokuja pale guest,teh teh teh Angel banaaa unajifanya umethahau eeeee???Na wewe ukiwa huko guest unajiita nani?
Na wewe ukiwa huko guest unajiita nani?
Duuh,mtoto unakumbukumbu wewe,yaani siku ile nilipokutajia jina tuu umelikariri?nitakurudia tena umenifurahisha sana napenda watu wenye kumbukumbu kama wewe!!!Laki ni mbona huku unajiita MwaJYeye anajiita Angelo! Lol!
Gaspar
Ha ha ha haaah!! Kumbe na wewe baadhi ya mitaa ni mgeni...!!Katavi hiyo Guest ni ngeni kwangu huyu mchajikobe nimeomba direction hajanipa sijui sanaaa?
Duuh,mtoto unakumbukumbu wewe,yaani siku ile nilipokutajia jina tuu umelikariri?nitakurudia tena umenifurahisha sana napenda watu wenye kumbukumbu kama wewe!!!Laki ni mbona huku unajiita MwaJ