AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
mi nilichukua primary court kwa sh elfu mbili miatano ,si unajua unatoa kikubwa ili upewe huduma ya haraka,kama we bahili hata elfu miatano.si gharama kabisa.na ni haraka hata hawana complicationItifaki imezingatiwa, ningependa kujua kukata affidavit ina gharimu shilingi ngapi? maana juzi nilienda mahakamani nikamkuta jamaa akaniambia eti nimpe elfu kumi ya kitanzania. Machale yakanicheza nikaacha. Ningependa kuskia kutoka kwenu, hiv itanigharimu shilingi ngapi? Naombeni majibu yenu tafadhali.