Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #41
naureen samaki wa kichina hana shombo= totoz/shape/**** ya kichina haina shombo wewe ulidhani samaki fish siyo hiyo ni tafsida au nd'o ulisomea akkademia za saint kanumba etc
ama sivyo wenye mada?
Bahati mbaya nimejifunza kiswahili katika miaka kumi na tano iliyopita. Muda mwingi nimeishi nje ya tz, kwa hiyo kuna vitu vingine sivifahamu.
pole ndugu,raha ya samaki shombo....
Mie mwenzenu shombo la samaki ndio limenifanya niwachukie hawa vitoweo.
Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA
Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu.