Samaki nilomla ni wa kichina nini??

Samaki nilomla ni wa kichina nini??

naureen samaki wa kichina hana shombo= totoz/shape/**** ya kichina haina shombo wewe ulidhani samaki fish siyo hiyo ni tafsida au nd'o ulisomea akkademia za saint kanumba etc
ama sivyo wenye mada?

Mwacheni jamani Nanren, nitampelekea Samaki wa Mwanza na wakichina aone tofauti yake
 
Bahati mbaya nimejifunza kiswahili katika miaka kumi na tano iliyopita. Muda mwingi nimeishi nje ya tz, kwa hiyo kuna vitu vingine sivifahamu.

njoo online kiswahili mkuu
 
Mie mwenzenu shombo la samaki ndio limenifanya niwachukie hawa vitoweo.

Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA
 
Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA

Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu.
 
Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu.

Poti wewe noma sasa samaki anapewa Pafyumu tena? mie pia nakula hata wa ziwa tanganyika maana they are unique poti...
 
Back
Top Bottom