Samaki samaki

Samaki samaki

nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi f'lani sana. Since ameona mzungu masai anauza samaki 2 yeye akaleta kuku kwa pembeni. Nafikiri ingependeza kama yule jamaa wa mwisho pale angeuza mdudu, biashara ingenoga sana asee.

mkuu ulivyonifurahisha leo hata nikinyimwa unyumba silalamiki ntabaki kucheka tu kumbe nakukumbuka
 
Waafrika kwa kuwazia matumbo hatujambo!

Asee mkuu wangu ni ukweli usofichika kwamba wateva the case, tunafanya kazi ili tule. We kama huwazi kula pole yako. Cku c mingi utakufa na utapiamlo...
 
Back
Top Bottom