Hawana tofauti na wanaume wa Dar !! Mikoa mingine wanaiona ni kijijini, ukisema unakwenda kumtembelea anakuagiza vyakula kama mahindi,maharage na hata kuku,yeye akija kukutembelea haji hata na kg moja ya sukari !!!Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu
Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana
Pengine hata shilingi mia moja hajakupa
Maisha ya 1990 siyo sawa na maisha ya 2000, tubadilike ukitaka kitu kutoka sehemu fulani toa pesa uletewe
Ni Mimi Karue kutoka Bugolola Ukerewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaka umeamua kuja kunitangaza JF kuwa nimekuagiza sangara.
Ngoja uje home hautakula michembe yetu[emoji2211]
Huu usawa hauki sawaIKIKUPENDEZA wapelekee,inajenga na kudumisha undugu,ujamaa,urafiki na mahusiano
Si vibaya pia kuwaeleza mfuko hauruhusu.
Binafsi hua siombwi ila naletaga na kugawa kwa majirani Bila kugombea na kwa hela yangu.
Na enjoy Hali hii
Kabisa kabisaHawana tofauti na wanaume wa Dar !! Mikoa mingine wanaiona ni kijijini, ukisema unakwenda kumtembelea anakuagiza vyakula kama mahindi,maharage na hata kuku,yeye akija kukutembelea haji hata na kg moja ya sukari !!!
Nashukru kwa kulitambua iloHii mada ni ndogo ila nimeitunuku kuwa mada bora ya mwezi.
Mtu ukiwa mkoa fulani ukiwajulisha ndugu na jamaa kuwa unaenda mkoa wao basi watakuagiza bidhaa zinazopatikana huko lakini hela hawakutumii na ukijiongeza kununua ukitegemea wakupe hela ukifika ujue imekula kwako.
Hizo bidhaa hata kama zipo nyingi kiasi gani bado haziwezi kupatikana bure bali kwa pesa nafuu tofauti na maeneo mengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar ukitaka uheshimike kama mkuu wa Kaya nenda umewafungashia chakula ama kwa hakika watakulamba miguu
Agiza Ukara kwa bei ya jumla, kisha wakaushe wapelekee nyumbani. Ukifika mpe shemeji awagawie majirani hata mmoja mmoja, inaleta heshima Mjini.Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu
Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana
Pengine hata shilingi mia moja hajakupa
Maisha ya 1990 siyo sawa na maisha ya 2000, tubadilike ukitaka kitu kutoka sehemu fulani toa pesa uletewe
Ni Mimi Karue kutoka Bugolola Ukerewe