Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Mmh, nadhani ni rahisi sana kusema kwamba utafunga mabag na kuondoka. Ingakuwa ulaya na America, ningekuelewa kirahisi sana. Ndoa nyingi sana hazina furaha na bado watu wamekaa pamoja. Kama tutafanya sensa ya ndoa zenye furaha hapa JF, na watu wakakubali kusema ukweli wao, we will be shocked.
Sometime kwenye ndoa, watu wanaishi pamoja kwa mambo mengi zaidi ya kupeana raha.
Kweli kabisa,
Raha kwenye ndoa nyingi ni ANASA ambayo ni watu wachache wanaweza kupata access ya kuwa nayo!!
Ni rahisi kufunga ndoa ya zaidi ya 200mil Tsh kuliko kuwa na ndoa ambayo mnakula kauzu na kufurahia uwepo wa kila mtu na nafasi yake kwenye ndoa!!