waweza pia tupia vipande vya viazi (vikatwe vipande vidogo), au ndizi bukoba kwenye foil, vinaiva vizurina vinakuwa na ladha tamu. waweza pia kutupia squash, zuccini, baby beans (kutegemea na taste yako) kama sehemu ya mboga mboga.
ameline Ahsante sana kwa hii nina swali, je ukishaweka kwenye foil unaweka moja kwa moja kwenye oven juu ya zile chuma au in a tray? Na je moto kiasi gani katika hizo 30-45minites?
je nikifata stage zote kama hizo hapo juu, ila ule muda wa kuweka kwenye oven au jiko, naweza kutumia micro wave au steamer? will the taste be different?
otherwise asante sana kwa hii recipe
ameline Ahsante sana kwa hii nina swali, je ukishaweka kwenye foil unaweka moja kwa moja kwenye oven juu ya zile chuma au in a tray? Na je moto kiasi gani katika hizo 30-45minites?