Samaki wa foil

Samaki wa foil

ameline Ahsante sana kwa hii nina swali, je ukishaweka kwenye foil unaweka moja kwa moja kwenye oven juu ya zile chuma au in a tray? Na je moto kiasi gani katika hizo 30-45minites?
 
Last edited by a moderator:
je nikifata stage zote kama hizo hapo juu, ila ule muda wa kuweka kwenye oven au jiko, naweza kutumia micro wave au steamer? will the taste be different?
otherwise asante sana kwa hii recipe
 
farkhina na ameline naweza weka samaki au nyama ng'ombe kwa microwave na ikaiva baada ya kufatq process zote?
 
Last edited by a moderator:
farkhina na ameline naweza weka samaki au nyama ng'ombe kwa microwave na ikaiva baada ya kufatq process zote?

mh uzoefu huo sina ma dia wala sijawahi kutumia kwa microwave labda farkhina ama yeyote aliejaribu au uvumilie nijaribu mimi then ntakupa jibu
 
Last edited by a moderator:
ameline Ahsante sana kwa hii nina swali, je ukishaweka kwenye foil unaweka moja kwa moja kwenye oven juu ya zile chuma au in a tray? Na je moto kiasi gani katika hizo 30-45minites?

kwa.hizo.dk 30 weka moto degree 200 mpaka 250 weka kwenye zile chuma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom