Samaki wa foil

mh uzoefu huo sina ma dia wala sijawahi kutumia kwa microwave labda farkhina ama yeyote aliejaribu au uvumilie nijaribu mimi then ntakupa jibu

Poa poa ahsante
 

Kwa tunaotumia jiko la gesi inakuwaje kiongozi?
 

 
ameline we mkali fungua hoteli maeneo ya posta tuje!
 
Last edited by a moderator:
farkhina na ameline naweza weka samaki au nyama ng'ombe kwa microwave na ikaiva baada ya kufatq process zote?

kuna microwave zina oven unaweza kuivisha....pia nyama ya kawaida ukiiweka muda mrefu kwenye microwave unaweza ivisha lkn haiwi nzuri ka ukitumia oven/jiko la kawaida!
 
Last edited by a moderator:
Farkhina Huwezi amini hilo pishi nimeliota usiku na huu niko njiani kwenda ferry! leo nataka raha nijipe mwenyewe featuring My Heartbeat Angel Nylon
 
kuna microwave zina oven unaweza kuivisha....pia nyama ya kawaida ukiiweka muda mrefu kwenye microwave unaweza ivisha lkn haiwi nzuri ka ukitumia oven/jiko la kawaida!

Nami nimekumbuka home tunayo madha ndo zake nyama ya mbuzi apika kwa foil.
inasehemu mpaka ya grill.
Ila too bad yangu haina inabidi nitafute
 
waweza pia tupia vipande vya viazi (vikatwe vipande vidogo), au ndizi bukoba kwenye foil, vinaiva vizurina vinakuwa na ladha tamu. waweza pia kutupia squash, zuccini, baby beans (kutegemea na taste yako) kama sehemu ya mboga mboga.

Mmmmh
Wekeend hii samaki wa foil atanihusu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
shogah mambo! Hivi naweza pika mandazi bila kuweka hamira?yatatokaje?yataiva? Kwa asieyetumia yeast.

labda utumie baking powder na mayai lakini halitakua andazi itakuwa half-keki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…