Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Ndiyo maana nimemchagua waziri kichaa kama mimiFishing quotas lazima ziwepo tena kwa mwaka ili samaki wapata nafasi ya kuzaliana!! Hatuna usimamizi katika maki zetu, zitapotea tu na tusifaidike
Wanasema wanatoweka sana pasipo kutarajiaKwani samaki wenyewe wanasemaje?
Huyo mshamba atakuelewa sasa?Hili si jambo la week au mwezi mmoja au miwili.Kama ni upungufu ulianza tangu enzi za Mwendazake.
Juzi tu hapa nlijaribu kukaa na baadhi ya wamiliki wa mitumbwi na wavuvi ili nijue changamoto wanazopitia katika shughuli zao!#HABARI: Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na hali hii imesababisha kuyumba kwa biashara hata mapato ya serikali kupungua
Sidhani kuwa mleta mada anauelewa wa uliyoandika hapa mkuu; yeye anachojua ni kushabikia, siyo siasa, kwa sababu hata yenyewe haijui, bali anashabikia mtu anayemdhania anatimiza maslahi yake.Huu ndio ujinga!! Wao waliokuwa wanavua tani 200 ndio waliosababisha kufikia tani 14 sasa!...
Webushamaliza .... Mwengine akichangia ataharibu ladha ya samakiHuu ndio ujinga!! Wao waliokuwa wanavua tani 200 ndio waliosababisha kufikia tani 14 sasa!...
Chanzo cha habari tafadhali, TAGANIST at his finest#HABARI: Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu...
Muongo mkubwa wewe magu anamisisimamo alishakataa uvuvi alamu na alikuwa anasema ukweli .Hili si jambo la week au mwezi mmoja au miwili.Kama ni upungufu ulianza tangu enzi za Mwendazake.
Good analysisHuu ndio ujinga!! Wao waliokuwa wanavua tani 200 ndio waliosababisha kufikia tani 14 sasa!...
Nasema uongo ndugu zangu?Good analysis
hawana faida, waache samaki wetu kama kuvua tutavua na kuwala hapahapa, wanavua samaki na kupeleka ulaya na sisi tunapata faida kidogo sana, imagine umefuga samaki ziwani, alafu mtu toka ulaya huko anakuja anaweka kiwanda na kuanza kuvua na kupeleka kwao kuuza anapata hela yake, wewe anakuachia kakamisheni kadogo tu, zikipungua anaanza kulalamika. wakwende zao.#HABARI: Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na hali hii imesababisha kuyumba kwa biashara hata mapato ya serikali kupungua