Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Wavuvi wasipozibitiwa ndani ya mwezi mmoja tu wanafanya uharibifu mkubwa sanaHili si jambo la week au mwezi mmoja au miwili.Kama ni upungufu ulianza tangu enzi za Mwendazake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wavuvi wasipozibitiwa ndani ya mwezi mmoja tu wanafanya uharibifu mkubwa sanaHili si jambo la week au mwezi mmoja au miwili.Kama ni upungufu ulianza tangu enzi za Mwendazake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hapanaNasema uongo ndugu zangu?
Bumunda umepigwa ban tena.Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na hali hii imesababisha kuyumba kwa biashara hata mapato ya serikali kupungua.
Waambie hao wenye viwanda ni wajinga! Ni wajinga! Wanahitaji kuelimishwa baiolojia ya ziwa. Wao walianzisha viwanda kama kundi la nyumbu wa serengeti. Hawakujuwa tabia ya malighafi yao. Walikuwa wanashindana kuvua kwa wingi wakiamini samaki wanaongezeka kwa ufufuo na incarnation?Wawekezaji wa viwanda vya kuchakata minofu ya samaki mkoani Mwanza wamelalamikia uhaba wa malighafi unaochangia kupungua kwa uzalishaji unaodaiwa kusababishwa na shughuli za uvuvi haramu.
wazalishaji hao wamesema uzalishaji umepungua kwa kasi kutoka tani 200 kwa siku mpaka tani 14 kwa sasa na hali hii imesababisha kuyumba kwa biashara hata mapato ya serikali kupungua.