Samaki wapungua kwa sababu ya kushamiri uvuvi haramu, wawekezaji walalamika

Mama ana siku 60 mnaanza kumpakazia uongo. Nyie kina Luhaga Mpina, Doto Biteku,Pole Pole, SabayaNape Mnauye na January Makamba n.k Zama zenu zimeisha. Kubalini matokeo na hizo kambi zenu hazitomuyumbisha Mama Madame President.
 
Huu ni umbea.

Leta taarifa kama mtu mwenye uelewa. Hili siyo jukwaa la wambea.
 
Waziri husika fanya kazi,watu tulisha sahau haya mambo ya uvuvi haramu,msitake kumuaibisha mama ili aonekane hafanyi kazi,tokeni huko maofisini mkarekebishe hiyo hali hii ni aibu sana...
 
Bumunda umepigwa ban tena.
 
Waambie hao wenye viwanda ni wajinga! Ni wajinga! Wanahitaji kuelimishwa baiolojia ya ziwa. Wao walianzisha viwanda kama kundi la nyumbu wa serengeti. Hawakujuwa tabia ya malighafi yao. Walikuwa wanashindana kuvua kwa wingi wakiamini samaki wanaongezeka kwa ufufuo na incarnation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…