Samantha Jannsen statement to Idris

Samantha Jannsen statement to Idris

kwa kweli ninachukia sana hii tabia ya watu kutukana au kukashifu watu kwenye mitandai ya kijamii. Hakuna mkamilifu duniani. Kama kuna mtu kakuudhi au hujafurahishwa na alichoandika si bora ukae kimya tu? kwani hawa wanaotukana wenzao kisa mapungufu au madhaifu yao wao wamekamilika? hakuna ambapo waliwahi kuwakosea wengine? kama aliyekuudhi anakuhusu si uongee naye binafsi? na kama hakuhusu na huna ukaribu naye si umuache na maisha yake na ukae kimya? Ustaarabu ni kitu kizuri sana jamani. Tujifunze kujiheshimu. I stand to be corrected.
 
Ukweli ni kuwa madame range ana mtindio Wa utashi, anaweza kuwa ana miaka 28, lakini utashi wake nisawa na mtu wa miaka 12. Ndio mana anajiona mtoto bado.
 
Watoto wezi wahun makahaba wa uswahilin wote wanasmart sasa

Wakute kwenye comment insta shameee
 
kinachomsumbua Huyu Samantha ni ile kusikiliza na kufuatilia kile kinachozungumziwa na Idriss. Kama kweli angekuwa hataki kuitwa majina ya ovyo ovyo kwanini aendelea kumlea idriss katika mawasiliano? Mtu anakukera lakini bado unamuacha bila kumblock si kujitakia uko. Kuwa na kampani au watu unaofanya nao kazi hakumzuii Idriss kuongea shit juu yake. Daima huwezi kuipata furaha ikiwa yule anayekukosesha unaendelea kumuona
 
Team wema wamevamia kuraha ya huyu dada full kumtukana matusi mazito watanzania instagram imekuwa ofisi.
 
hovyo kabisa hawa wanaoenda kukoment kwa pages za watu, halafu sasa wengine ni mijitu mizima tu tena na ndoa zao but kwa kuitana sasa kwa pages za watu na kutukana hawajambo, wanaitana kabisa shoga pita huku, mara shoga ulishapatia hapa. puuh! bure kabisa hawa
 
Ukweli ni kuwa madame range ana mtindio Wa utashi, anaweza kuwa ana miaka 28, lakini utashi wake nisawa na mtu wa miaka 12. Ndio mana anajiona mtoto bado.
Hesabu zangu zinasema ana miaka 35
 
If U Engaged Urself In Love Affairs With The So Called Bongo Celebs.U Definitely Get Urself In Unended Seasonal Drama.She Must Get Herself Prepared For More Episodes Coz The Movie Has Just Started.
 
Huo ni wivu tu ndo ulimpelekea Wema kutaja hilo jina la baggage as inaonekana alikuwa hataki kabisa kumention jina Samantha. Lakini hata Idris mwenyewe hakufurahia akamwambia Wema afute kauli na akakubali na kutaja jina halisi Samantha instead of baggage.

Tatizo wale wabongo wenzetu wakosa kazi daily kuvamia page za watu na kuanza kuharisha maneno yao machafu kule ndo wanaleta uchonganishi na kukuza mambo.
Those people sijui wakoje, yaani wanakera mno! Afu unakuta na mimama mizima imo mule busy tu na maneno ya shombo....chefuuu!!
 
Back
Top Bottom