Samata Ametupia tena UEFA

Samata Ametupia tena UEFA

Hivi unamchukiaje mtu kama Samatta...lazima uwe umetoka kwenye familia ya ovyo na kichawi
Tatizo hamuelewagi malalamiko ya wadau,binafsi huwa nafuatilia mijadala ya kumlalamikia Samatta ila wanachodai ni kwamba Samatta akiwa bongo hajitumi sana kama anavyokuwa Genk,na hili ni la kweli,Hakuna aliyewai kusema Samata hajui labda kama mtu hajielewi
 
Tafuta mahojiano ya kocha wa taifa star huko YouTube, utajua kwanini anacheza vile, yale ni maelekezo ya kocha.
Tatizo hamuelewagi malalamiko ya wadau,binafsi huwa nafuatilia mijadala ya kumlalamikia Samatta ila wanachodai ni kwamba Samatta akiwa bongo hajitumi sana kama anavyokuwa Genk,na hili ni la kweli,Hakuna aliyewai kusema Samata hajui labda kama mtu hajielewi
 
ni kweli amefunga, lkn what next.? goli lake limesaidia kitu gani kwenye timu yake.?
 
goli nyepesi.....tatizo....goli za kumalizia kwa kichwa,,,,,, ni mmaliziaji mzuri but sio wale washambuliaji wakokotaji kama Mess, ni mshambuliaji muoteaji na mbahatishaji kama Karim benzema,,,, goli zake ni one touch na za kichwa au kipa katema anamalizia.... si mbaya akaze msuli kwa hii style yake .OVERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
Hivi msimu uliopita si alikua mmoja wa wafungaji bora wa ligi yubelgiji?kwa maana ya namba 2 ?bado unasema anabahatisha?
Tp mazembe alikua mfungaji bora na akateuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora afrika,bado haumuelewi tu ati anaotea?

Back
Top Bottom