ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Licha ya kelele alizopigiwa hapa nyumbani jana tena kadhihirisha kuwa yeye ni mfungaji baada ya kutikisa tena nyavu za ligi bora na kubwa duniani na ulaya na kumfunika hata Cr 7 kwenye ufungaji msimu huu.hongera Mbwana...kweli
HAINA KUFELI
HAINA KUFELI