ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Licha ya kelele alizopigiwa hapa nyumbani jana tena kadhihirisha kuwa yeye ni mfungaji baada ya kutikisa tena nyavu za ligi bora na kubwa duniani ya ulaya na kumfunika hata Cr 7 kwenye ufungaji msimu huu.hongera Mbwana...kweli
HAINA KUFELI
Hivi unamchukiaje mtu kama Samatta...lazima uwe umetoka kwenye familia ya ovyo na kichawihana lolote
Ahame timu. Timu inapigwa 4 na Salzburg ikiwa kwao.
Timu yake kwakweli ni jangaAhame timu. Timu inapigwa 4 na Salzburg ikiwa kwao.
Mbali ya goli la jana pia Kamfunga bingwa wa ulaya Liver ikiwa na beki bora wa ulaya ndani - nje ..japo goli moja walitia figisu..vipi wewe unasema hana lolote?hana lolote
Tatizo hamuelewagi malalamiko ya wadau,binafsi huwa nafuatilia mijadala ya kumlalamikia Samatta ila wanachodai ni kwamba Samatta akiwa bongo hajitumi sana kama anavyokuwa Genk,na hili ni la kweli,Hakuna aliyewai kusema Samata hajui labda kama mtu hajielewiHivi unamchukiaje mtu kama Samatta...lazima uwe umetoka kwenye familia ya ovyo na kichawi
Acha kumlinganisha Rashford na vitu vya hovyoHuyu Samatta ana uwezo mkubwa sana.Ana uwezo wa kumfunika hata Rashford pale Man U kwa kucheka na nyavu.
Rashford hana kituHuyu Samatta ana uwezo mkubwa sana.Ana uwezo wa kumfunika hata Rashford pale Man U kwa kucheka na nyavu.
Tatizo hamuelewagi malalamiko ya wadau,binafsi huwa nafuatilia mijadala ya kumlalamikia Samatta ila wanachodai ni kwamba Samatta akiwa bongo hajitumi sana kama anavyokuwa Genk,na hili ni la kweli,Hakuna aliyewai kusema Samata hajui labda kama mtu hajielewi
goli nyepesi.....tatizo....goli za kumalizia kwa kichwa,,,,,, ni mmaliziaji mzuri but sio wale washambuliaji wakokotaji kama Mess, ni mshambuliaji muoteaji na mbahatishaji kama Karim benzema,,,, goli zake ni one touch na za kichwa au kipa katema anamalizia.... si mbaya akaze msuli kwa hii style yake .OVERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR