Samata Ametupia tena UEFA

Hivi msimu uliopita si alikua mmoja wa wafungaji bora wa ligi yubelgiji?kwa maana ya namba 2 ?bado unasema anabahatisha?
Tp mazembe alikua mfungaji bora na akateuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora afrika,bado haumuelewi tu ati anaotea?
soma kwa makini utaelewa
 
Ni taifa star inapaswa kujituma
 
Siku mkijua kwa nini Kapombe kastaafu kuichezea Team ya Taifa....ndo utaelewa kwa nini Samatta hucheza anavyocheza akiitwa Taifa!!

.......i would do the same.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…